The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,882
- 117,045
Warudi kwao tu sasa wakaendelee kushika mitutu ya Bunduki ndio wanachokijua kwa ufasaha.
Yote kwa pamoja.Kwa hiyo tatizo ni kuzaliwa au kulelewa Africa?
Tunabahatika kuongoza lakini tunashindwa kushikilia bombaNilichogundua kwa watu weusi wao tu kushiriki WC wanaona ni kitu kikubwa hata wakitokea hapo sio mbaya.
Mayele kufunga goli basi hapo anaona kamaliza kwenye profile yake...moroco na misri tu ndo timu zisizocheza huu ujinga wa watu weusi. Kweli rangi nyeusi tupo genetically uncivilizedAu watangulie tu kufunga hata goli moja,kisha hata wakipigwa 5 huona ni sawa tu.
Huyu kocha wa congo asirudi lumbumbashi watamuua
Acheni masihara wakuuYote kwa pamoja.
Kipara Makreza.Faulu piga chin mbal na kipa alipo ukuta ukiruka inapita, kipara nae vip au kachoka
Yaani timu za watu weusi zinatufunga midomo sisi mashabiki zake kama Ronaldo anavyofanyaTunabahatika kuongoza lakini tunashindwa kushikilia bombaView attachment 3620107
England anatokaHaya...
Ni England vs Mexico City
Alikua na shida ya kufunga goli 2 tu ila kwasasa shida yake imeisha.Kane ana shida gani.....
Winning mindset hawana. Unawaona Morocco wale, wazawa au waliolelewa nchini kwao kwenye kikosi kile ni wangapi?Kwa hiyo tatizo ni kuzaliwa au kulelewa Africa?
Walie nini wakati hapo wanaona wamefika hatua ya juu kabisaWaafrika hakuna vilio, hawa weupe mara wanamwaga chozi
Hao wenye mitutu ni wahuni wanaofadhiliwa na maadui wa DrcWarudi kwao tu sasa wakaendelee kushika mitutu ya Bunduki ndio wanachokijua kwa ufasaha.
Mbona watu wa hivyo wapo wengi sana tu.Umeanza kunichekesha sasa Mbappé ni mweupe kuliko mzungu gani?