adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Tapeli
Tapeli
Teh teh 😃 😃 hiyo England imalizane kwanza na Drc hayo mengine yasubiri..England the three lions ndio timu itakayoweza kumchallenge ufaransa au Argentina. Sasa hawa wakongo wapunguze sifa huko mbele ni pagumu zaidii.
Kama Leopard kweli..😀😀Congo hawazuii tu, hadi kwenye box la England wanafika na wakifika inakuwa ni tishio
Congo hawazuii tu, hadi kwenye box la England wanafika na wakifika inakuwa ni tishio
Hiki kizee bqlqqq.
Mimi sasa je hadi sauti huwa inakauka. 🙈
Najuaga kushangilia japo hizi timu zetu za Afrika sometimes huwa zinatuangusha.
Kwasababu England nawenyewe hawajakaa kizembetatizo wanachachawa sana
Hahahaaa. Ngoja kwanza tumalizane kwanza team Cape Verde 🤣🤣Pole karibu Uajentinani basi mtani, huku kila mechi tunapiga hatrick
Ila huyu mzee muhuni. Eti kapiga na lipstic.
Dhambi ya kumwacha Parmer na Foden inamtafuna Tuchel.
Dhambi ya kumuweka bench Mainoo
Atakoma leo
Tatizo huwa wanajikuta very special kuliko wenzao na wanapenda attention ya RefereeWaingereza wanajua kusizi