Acha kabisa. Yaani hapa kushinda ni kudra za aliye juu tu.Ila moto unapelekwa
Itakuwa poa. Japo bana kuna zile dakika za nyongeza zile zijui huwaga zina nini. 😂Ila hii kasi hata England watachoka tu
Eti da tano ni nai anacheza?Waingereza wanajua kusizi
Mechi kama hii unashangaa inaisha bila bilaSio mchezo
Daah Congo..Wisa Wisaa why WisaaMimi sasa je hadi sauti huwa inakauka. 🙈
Najuaga kushangilia japo hizi timu zetu za Afrika sometimes huwa zinatuangusha.
Hivi hiyo nafasi yake hakuna wachezaji wengine wanafaa mpaka aitwe yeye.Madueke hafai hata kucheza NDONDO CUP ni takataka
Kumbe kuna mechi inaendelea????
Mkuu kwani Wacongo tumekukosea nini? 😂😂Sasaivi Congo watataga, ni wapende au wasipende.