Kane ana shida gani.....
Wapo motoHawa wajukuu wa Charles wanashambulia vibaya sana.
Inaonekana vumbi limeanza kuisha nguvuCOngo hoiii
KakusikiaKocha toa rashford ingiza Gordon, toa madunduka ingiza morgan rogers
KabisaFrance wapewe kombe lao hawa FIFA wasitupotezee muda.