Robin20
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 657
- 761
Dah shida sana aiseeHili ni tatizo kubwa utawezaje kulinda goli dk 80
Dah shida sana aiseeHili ni tatizo kubwa utawezaje kulinda goli dk 80
WanazinguaCongo wakianza kuzuia itawalamba
Mtani nakumbuka England ni chama lako eeh?Wazuie wafanye lolote
Ewaaa! Natamani mpaka huu mzunguko uishe upande wa Afrika zivuke hata zaidi ya 4.Kabisa.
Ila kwa DRC wacha tu nibaki nao.
Toka jana nilisema hapa.
Ni wanaafrica Mashariki wenzangu.
Tutoe aibu..hawa wakikaziwa mzigo tunapita sema sasaEwaaa! Natamani mpaka huu mzunguko uishe upande wa Afrika zivuke hata zaidi ya 4.
Natumai itawezekana.
Itokee tu iwe wameandikiwa kuvuka japo sasa inakuwa ni dakika za presha tu kwa mashabiki.Pira la africa je congo ataweza kukaza matraco dakika 70 zote
Jana nimepata sana msongo wa mawazo ajili ya Ivory coast sitarudia tena kosa la kushabikia timunya watu weusi. Mpaka nione moira umeisha kabisa ndo nitafurahiaKwa hizi timu zetu za Afrika kushangilia ni mpaka mpira uishe.
Sasa nini Mkuu?Tutoe aibu..hawa wakikaziwa mzigo tunapita sema sasa