moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 776,013
Kuhusu Ubingwa wake ambao timu zenu zinatoana macho kugombeaKuhusu nini mfano?
Kuhusu Ubingwa wake ambao timu zenu zinatoana macho kugombeaKuhusu nini mfano?
Cheki rekodi zako upyaKwa Tz ..Ecuador wanacheza baadae saa 1 jioni.. US itakuwa late night..
Kwa Tz ..Ecuador wanacheza baadae saa 1 jioni.. US itakuwa late night..
Kuhusu Ubingwa wake ambao timu zenu zinatoana macho kugombea
Nimejichanganya... Ni saa 10 alfajiri kwa saa za EA, gmt+3, sijui niliwaza nini..Ecuador na Mexico zinacheza saa tatu usiku saa za ukanda wa mashariki.
Ni chini ya masaa mawili kuanzia sasa ndo mechi inaanza.
Mkuu hata Mimi kiukweli naona France wako vizuri na wanaweza kuchukua World Cup hii, ila ukweli ni kwamba hawajapata changamoto kucheza na timu ngumu... Sasa hawa Sweden hata ukiwakabidhi Colombia si wanakula nyingi.. Hata wakikutana na Morocco wanapasuka vizuri tu...France kidogo anaweza akateteleka kwa Colombia,Argentina ila hawa wengine atajipigia sana. Ureno wana middle bora ulaya za kutosha,ndio hivyo kocha hawana ila nao wangesumbua sana kwenye michuano hii.
Yeah wameanza saa nne usiku saa za mashariki, Marekani.Kumekuwa na Delay ya 1hr
So game itaanza 2000hrs.
East Africa itakuwa saa 0500hrs (morning)
Huyu Bora amekimbia EPL angekuwa floop ya mwakaDiomande sijaona makeke yake anakuzwa sana na media tu
Watu wajipange kwa hawa watu aiseeEquado watu wa kazi sema wahuni wa Mexico wanapiga mpira wa fujo
Haqa Mexico wapo serious sn mwaka huuEcuador tayari amesha elekea kwenye mlango wa kutokea,zimebaki kama hatua tano tu ili ajikute yupo nje.
Kipindi cha pili equador kachangamka sana ila bahati tu haipo upande wao kipindi cha kwanza ni makosa sana wamefanya hasa upande wa beki wa kushoto huyu jau sana ila yote game Walianza nayo kwa kuichukulia poaEcuador tayari amesha elekea kwenye mlango wa kutokea,zimebaki kama hatua tano tu ili ajikute yupo nje.