Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Santo sana hii niliikosa
Santo sana hii niliikosa
Kumtegemea messi peke yake hakutawalinda safari hii, kwa Ufaransa hii wakikutana nayo kazi wanayoNajaribu kukuelewa, kiukweli pale mbele wana balaa..
Rais dictetea ni PerezKwanini mbape anaitwa dictator?
Ye ule utatu inaweza kusababisha yule muhun beki wa spurs akala umeme mapema game ikawa rahis kwa ufaransaIla gonga ni kugonge ya safari hii, sioni kama Argentina atabahatika safari hii ni kweli eneo la ulinzi kuna tatizo lakini naamini pale mbele patasahihisha makosa ya ulinzi, they are deadly Infront of the goal, watu weusi wa maana kabisa
HahaRais dictetea ni Perez
mbape ni General wake🤣🤣
apo anatuma refa
Khani tunaishije leo..ni kama nimteketeze ENGLAND😀😀Spain ❣️
Unatuogopa sana kijana ndo maana kila mala unatafuta pakuj8fichiaShabiki wa ArgentFIFA View attachment 3619384