adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
UtulivuHivi kuna ukweli kuwa watu weusi hawawezi kupiga penati? Maana naona kama hiyo stereotype inazidi kupata ushahidi.
UtulivuHivi kuna ukweli kuwa watu weusi hawawezi kupiga penati? Maana naona kama hiyo stereotype inazidi kupata ushahidi.
Pole sana Mkuu.Shida Morocco wakishaanza kushinda wanajikataa wao siyo waafrika 🤬🤬🤬
Pole kwa makaburu waliochangamka uholanzi
Sasa kwani lazima wawe waafrika ndo uwashabikie🤣Shida Morocco wakishaanza kushinda wanajikataa wao siyo waafrika 🤬🤬🤬
Pole kwa makaburu waliochangamka uholanzi
Saana...Morocco ni kama maji kwa Africa😀😀A very entertaining day in the World Cup.
Mapema sana aisee….Ufaransa apewe tu kombe lake hakuna wa kumzuia
Umasikini na chuki za Waafrika tu , ila kiuhalisia alisema mchezaji mmoja tena hakusema kwamba wao si waafrika bali hakutaja waafrika katika statement ya shukrani watu wakahamisha chuki kwa Morocco.Shida Morocco wakishaanza kushinda wanajikataa wao siyo waafrika 🤬🤬🤬
Pole kwa makaburu waliochangamka uholanzi
Hao wameenda zao robo fainali
Kwani hao Uholanzi anao washabikia wao ni waafrika?Sasa kwani lazima wawe waafrika ndo uwashabikie🤣
Hapana siyo lazima, mfano leo nilikuwa upande wa Japan ambapo majority walikuwa BrazilSasa kwani lazima wawe waafrika ndo uwashabikie🤣
Shida Morocco wakishaanza kushinda wanajikataa wao siyo waafrika 🤬🤬🤬
Pole kwa makaburu waliochangamka uholanzi
Hizi chuki zao kwa Morocco ndio zitafanya huko mbeleni tuanze kuona nyuzi humu za kuulizia Dawa za vidonda vya tumbo.Wamatumbi waendeleze chuki zao kama zinasaidia chochote. Kuwashabikia au kuwachukia Morocco hakuongezi/kupunguza chochote kile.
Hao wamewekeza sana wako makini na soka..sie huko si tia mchuzi ndio maana ligi kuu wa mwsiho anachezeshwa na mtu wa Championship ndio uone akili za makalioUmasikini na chuki za Waafrika alisema mchezaji mmoja tena hakusema kwamba wao si waafrika bali hakutaka waafrika katika statement ya shukrani watu wakahamisha chuki kwa Morocco.
Juzi Mahrez kwenye press official baada ya mechi kama Captain baada ya Algeria kufuzu alijisifu sana Africa na akasema soka la Africa limepanda viwango ila watu wanachukulia poa na akasema yuko proud kuona maendeleo ya Africa kisoka . Hiyo kauli haijaenda viral Wala kupongezwa sasa aseme kauli ndogo ya utata utasikia tunabaguliwa
Hapo sasa yaani waafrika jau sanaKwani hao Uholanzi anao washabikia wao ni waafrika?
Wanakataa wangapi?Hapana siyo lazima, mfano leo nilikuwa upande wa Japan ambapo majority walikuwa Brazil
Issue hapa ni kwanini wakifanikiwa wanakataa origin yao..?
Kila nchi inajipigania kwa manufaa ya nchi yake,Umasikini na chuki za Waafrika alisema mchezaji mmoja tena hakusema kwamba wao si waafrika bali hakutaka waafrika katika statement ya shukrani watu wakahamisha chuki kwa Morocco.