Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,151
- 7,435
Ile advantage walitaka kuichezea. All in all wamepetaKivp
Ile advantage walitaka kuichezea. All in all wamepetaKivp
Sijui hataHuyu kipa wa para yupo club gan
Nimependa sana hakuna cha history hapa 😃Gen Z wamepindua meza
AahaaaaGermany kimewaramba 😅
Daah n mn9ma sanaa aisee👐👐👐Sijui hata
Gen Z hawana Cha historia Wala majinaGerman wamrudishe tu joachim low 2022 walitolewa na south korea leo wametolewa na paraguay.
Gen Z watu wamabadiliko sana ila CCM hawataki kukubali
Yupo huko nyumbani kwa kina G.O.A.T club ya San LorenzoSijui hata
😁😁😁CCM ni mashetani washazoea damu h yo kubadirika ni ngumuGerman wamrudishe tu joachim low 2022 walitolewa na south korea leo wametolewa na paraguay.
Gen Z watu wamabadiliko sana ila CCM hawataki kukubali
Usimsahau na Argentina,huu ushindi wa Paraguay unaenda kuwapa confidence underdog wengine
Natafuta kahawa hapa,Bora kombe la Dunia liisheWale wa saa 10,tuendelee kukesha
Aisee, mi nikajuani gen z.. kumbe...Kutambo sana, tangu enzi za kina Kaka na Cuf, those days....dah