.......Nawaona wachezaji wenye nywele za kipilipili ktk kikosi cha Morocco.Rightfully so. Ushabiki wenu hauwaongezei au kupunguza chochote kile kwao.
So long as wameingia under CAF ni timu ya Africa sijaongelea ushabiki hapa.
Kabisa, kabisa...Binafsi nilishaacha kabisa kuangalia penalties, baada ya dkk 30 basi nasubiri tu kuambiwa nani mshindi.Huwa hauna mshindi halali.
Sasa sijui watafanya nini
Hata Mimi hua siwezi kuangalia Penalties.Nitapata matokeo baadae, penalties sio zangu