Paraguay ameondoka na mabegi 😥niseme Asante kwa kushirikiMechi
Saa mbili Brazil vs Japan
Saa tano Germany vs paraguay
Saa kumi Morocco vs uholanzi
Paraguay ameondoka na mabegi 😥niseme Asante kwa kushirikiMechi
Saa mbili Brazil vs Japan
Saa tano Germany vs paraguay
Saa kumi Morocco vs uholanzi
Morocco na hao jamaa ngoma ngumu sijui nani apotee hapo,🤔Mechi
Saa mbili Brazil vs Japan
Saa tano Germany vs paraguay
Saa kumi Morocco vs uholanzi
Inaweza kumpiga huyo mbabe,hata Brazil ajipange kwa wajapan maana hawachokiParaguay ameondoka na mabegi 😥niseme Asante kwa kushiriki
Brazil naona kama ameenda maana Kuna muda Japan wanakaza, ila Brazilian hii imeendaMechi
Saa mbili Brazil vs Japan
Saa tano Germany vs paraguay
Saa kumi Morocco vs uholanzi
Ndo nikasema japan wanakaza fuvuInaweza kumpiga huyo mbabe,hata Brazil ajipange kwa wajapan maana hawachoki
Brazil ajipange, Japan wapo vizuri na hawachokiBrazil naona kama ameenda maana Kuna muda Japan wanakaza, ila Brazilian hii imeenda
Hivi Canada nae si alikuwa nae mipira nao walikuwa wameandaa viwanjaBafana bafana out
Africa kusini hii game alikuwa anashinda ni uoga wake na kukosa concentrate
Hapa leo lazima nikesheView attachment 3617882
Ni kivumbi haswa
"That foul deserves a penalty"Give me freedom, give me fire, give me Uzbekistan or I’ll retire.. 🤷♂️😂😂
Cc
Scars
Angel Nylon
Numbisa
View attachment 3618277
😁😁😁mtasema yote msimu huuEven the goalie was part of the plan tooView attachment 3617668
Netherland akajisahau kidogo anaondokaMorocco na hao jamaa ngoma ngumu sijui nani apotee hapo,🤔
✅️✅️✅️Hapa nipo na Japan, Germany na Uholanzi...
Hata mie naunga mkonon hojaLeo Japan akipita itakuwa raha sanaaa
Japan nipo upandewao kila la heri Japan dhidi ya wavaa hereni WA brazilLeo Japan akipita itakuwa raha sanaaa