Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,050
Hapana hio iko vizuri labda kwenye kuja kukoment jf kama unatumia simu hiohioTatizo game ukifatilia online mara nyingi unakua nyuma zaidi ya dakika 2
Hapana hio iko vizuri labda kwenye kuja kukoment jf kama unatumia simu hiohioTatizo game ukifatilia online mara nyingi unakua nyuma zaidi ya dakika 2
Japan kill them pleaseHapana hio iko vizuri labda kwenye kuja kukoment jf kama unatumia simu hiohio
Nawakubali sana hawajakaa kizembe! Wafupi ila wako makini japo Brazil timu kubwaJapo wengi wanaibeza japan ila kikosinchao ni nouma wote wanacheza ulaya tena timu kubwa tupwa
Amin Amin.. All the best JapanJapan kill them please
The samba boys take to the fieldAll the best brazil
KashesheHapana hio iko vizuri labda kwenye kuja kukoment jf kama unatumia simu hiohio
Taarifa inasema kituo cha ubungo. Sio Grid ya taifa, Zanzibar nchi nzima haupo. Twamulikwa na mbalamweziTANga hANdenI umeme upo sio nchi nzima
Ingia uangalie huko japo kwenye simu haina vibeKasheshe
Hii ya japana kama tupo msibani bwanaWanaimba nyimbo za taifa
Mtakua mmefanya vyema...kutambua watu wenye michango chanya!
NB.
Huyu bwana alikua kipa au mshambuliaji??
View attachment 3618565