tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Senegal,Morocco, Egypt zishike mkuuNina feeling timu nyingi za Africa hazipiti hii knock out stage.
Senegal,Morocco, Egypt zishike mkuuNina feeling timu nyingi za Africa hazipiti hii knock out stage.
Tupo hapa tutaonaHao Morocco usiwachukie sn maana shughuli yao balaa
Sawa hamna shida ngoja tusubiri. Nilimwambia mdau humu mapema kuwa South anapigwa akabishaTupo hapa tutaona
Mkuu kama kuna nafasi ya upendeleo basi naomba kuwapendekeza uran na Greatest Of All Time muwapatie badge ya Platinum Member kwa mchango wao kwenye jukwaa la michezo hasa hii inayohitaji Updates!Correction: Hapa ni Taifa Stars
USA baby ni NN
Itafanyiwa kaziMkuu kama kuna nafasi ya upendeleo basi naomba kuwapendekeza uran na Greatest Of All Time muwapatie badge ya Platinum Member kwa mchango wao kwenye jukwaa la michezo hasa hii inayohitaji Updates!
With all due respect 🫡
Cc.
Maxence Melo
Huyu morocco anapewa kesi za ukweni tu je ataweza kumzuia Netherlands?
Unapigia promo IDs zakoMkuu kama kuna nafasi ya upendeleo basi naomba kuwapendekeza uran na Greatest Of All Time muwapatie badge ya Platinum Member kwa mchango wao kwenye jukwaa la michezo hasa hii inayohitaji Updates!
With all due respect 🫡
Cc.
Maxence Melo
Naunga mkono hojaMkuu kama kuna nafasi ya upendeleo basi naomba kuwapendekeza uran na Greatest Of All Time muwapatie badge ya Platinum Member kwa mchango wao kwenye jukwaa la michezo hasa hii inayohitaji Updates!
With all due respect 🫡
Cc.
Maxence Melo
Korea outTimu zangu
afrika kusini
Congo Dr
agentina
german
England
newzeland
japan
korea s
all the best
Bafana bafana outKorea out
newzeland out