2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mkeka wa kesho ukoje????
1000828255.jpg

Ni kivumbi haswa
 
Hugo broos kazingua mwenzie anafanya subs yeye ametulia tuu anafanya sub dakika ya 86....muhuni huyu jamaaa

Cha kushangaza hugo broos ndio alikuwa kocha mwenye kufanya sub za haraka na zenye impact wakati wa afcon. Huku world cup kawa mzito sana kufanya subs
Waende zao
 
Back
Top Bottom