HakunaHivi kuna mtu amewahi kuwa mfungaji bora kombe la Dunia kwa kufikisha goli 10 ama Messi ndiye anayekwenda kuwa wa kwanza?
Ni balaaOooh kubeti ni umasikini hakuna mtu mwenye hela akahangaika na kubeti.
Just another beggar & broke nigga tryna get some shit through betting
View attachment 3617450
Amepigwa ban kuingia USA
Duhh kama Alifanya hivyo kawachokoza kwanza hawawezi kumpa chance cause huyo Lumumba si- wao ndio waliomuua so kufanya vile it's he's mocking themNahisi ni kwasababu aliweka is ishara ya bastola kichwani mwake siku ya game ya colombia.
Wazungu hawana dogo,wameshamharibia brand yake
😆Naskia FIFA wanataka kuwarudisha Uzbekistan kwenye mashindano ili babu aendelee kutap in
Hatuainayofuata watapukutika mmoja baada ya mwingine9/10 African nations at the 2026 World Cup have advanced to the knockouts.
Incredible 👏🇨🇻🇸🇳🇨🇮🇬🇭🇲🇦🇩🇿🇪🇬🇨🇩🇿🇦
Even the goalie was part of the plan tooRonaldo nayeye ashindwe kama hivyo tuone 😆
Halafu hizo ni technic katika mchezo so tatizo Lilo wapi !?
And kwanini kipa asidake !?
Mtani mwenzako nipo nyuma aisee, ujue saa hii ndo nagundua Africa zimevuka timu 9 hatua ya mtoano.Acha kabisa...
Hapa hesabu zilienda mrama kabisa