Kwahiyo mm nina Ids mbili moja ya kusapoti messi nyingine Ronaldo?? Mambo mengine bwana😅Unapigia promo IDs zako
Mtakua mmefanya vyema...kutambua watu wenye michango chanya!Itafanyiwa kazi
Yaani na mie ndio natoka kuuliza. Naona Meneja wa TANESCO keshafanya yake kama juzi.....Hii game tutaangalia wap mbona umeme umekatika
Leo watu wamefunga office mapema kuwahi game afu ndo hivi tena dahYaani na mie ndio natoka kuuliza. Naona Meneja wa TANESCO keshafanya yake kama juzi.....
Lemme go against them all..Dunia nzima inashabikia Brazil. As always sifati vinavyopendwa na wengi. I'll support Japan today. Japo I'll feel sorry for Neymar if they'll be eliminated
View attachment 3618567
Tanzania nzima?Dunia nzima inashabikia Brazil. As always sifati vinavyopendwa na wengi. I'll support Japan today. Japo I'll feel sorry for Neymar if they'll be eliminated
View attachment 3618567
Yaani game ya saa mbili tunaangalia fresh bila uchovu, wacha niweke kambi hapa nipate hizo updates. Kuangalia ndio hakupo ivoLeo watu wamefunga office mapema kuwahi game afu ndo hivi tena dah
Angalia onlineYaani game ya saa mbili tunaangalia fresh bila uchovu, wacha niweke kambi hapa nipate hizo updates. Kuangalia ndio hakupo ivo
Najua basiAngalia online
Ingia Google search: Fawanews.sc utaangalia live kwaraha zakoNajua basi
Tatizo game ukifatilia online mara nyingi unakua nyuma zaidi ya dakika 2Angalia online
Japo wengi wanaibeza japan ila kikosinchao ni nouma wote wanacheza ulaya tena timu kubwa tupwaLemme go against them all..
Nasimama na Japan