Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,562
Yap leo furaha ni uhakika maana sioni namna yoyote akitoboa mbele ya Canadajamani sauz leo atatupa furaha wezee wa sub sahara africa?
Yap leo furaha ni uhakika maana sioni namna yoyote akitoboa mbele ya Canadajamani sauz leo atatupa furaha wezee wa sub sahara africa?
Sana sisi ni bora kweli. Hapa tukikaza zaidi tunaweza kufika mbali.Sisi ni bora sana.
Hapo sauzi kibarua wanacho.Leo Souz wanaanza safari ya mtoano.
Bahati mbaya wako na Mwenyeji
ah wewe tuwasapoti waafrica wenzetu bwanaYap leo furaha ni uhakika maana sioni namna yoyote akitoboa mbele ya Canada
Waafrika lazima tuwasapoti. Kwa bahati mbaya wale ni wasauzi, sio wenzetu.ah wewe tuwasapoti waafrica wenzetu bwana
kisa wamewanyimeni chance ya kuwala dada zao hahahahhaTeam Canada nipo hapa
Makhirikhiri bye bye
mie lazima niwasapoti maana ndugu yao alimgegeda dada yetuna kutuachia mbeguWaafrika lazima tuwasapoti. Kwa bahati mbaya wale ni wasauzi, sio wenzetu.
leo canada analiwa kichwaYani Canada wasiniangushe jamani,wapige 2 tu
Sawa,ngoja tusubirileo canada analiwa kichwa
Tumemuua mpaka kwenye mikeka tunamsubiri simba wa teranga tu