Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,516
- 193,488
Wimbo wao wa Taifa ni kama wa Tanzania...
Wimbo wao wa Taifa ni kama wa Tanzania...
Vibaya hivoooTumemuua mpaka kwenye mikeka tunamsubiri simba wa teranga tu
Uko timu gani leo??Wimbo wao wa Taifa ni kama wa Tanzania...
Kuna jamaa kawachana sana vijana wa south kuwa wanapenda vya bureVibaya hivooo
Africa as 1
Huku hakuna mserereko wakaze taccoKuna jamaa kawachana sana vijana wa south kuwa wanapenda vya bure
Sina team leo...Uko timu gani leo??
All the best SauzSina team leo...
Leo nashabikia SauzSina team leo...
South Africa anachezea koki...All the best Sauz
Kwahiyo leo mnashabikia sauz?
😅😅Team Ronaldo wanasema eti wameonewa
View attachment 3617780