2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

A.U.R.A
IMG_0667.jpeg
 
Yaani acha tu mwaya.

Hebu waje wazee wa calculations watuambie je ikitokea kashinda mechi ijayo vipi atakuwa na nafasi ya kupata hata ubest looser au ndo mpaka sasa ameshatoka mazima?
Atatoboa naamini, cha msingi game ya mwisho apige goli nyingi, na maadii zake wa juu wenye point tatu na chini ya tatu awaombee NJAA kali
1SwedenF30
2ScotlandC30
3CroatiaL3-1
4AlgeriaJ3-2
5ParaguayD3-2
6Cape VerdeH20
7BelgiumG20
8CzechiaA1-1
9EcuadorE1-1
10DR CongoK1-1
11BosniaB1-3
12SenegalI0-3
 
I've come to a shocking realization...

Unafahamu kwamba mashabiki wa Messi wanamkubali zaidi Ronaldo?

Ishu ni kwamba wengi ni mashabiki wa Barcelona, na ukiwa shabiki wa Barcelona kumshabikia Messi inakuwa ni swala la lazima.

Imewekwa hivyo na sasa ishakuwa sheria kwamba unatakiwa kumtetea Messi kwa gharama yoyote ile.

Until then, let's keep them in our prayers.
FB_IMG_1782295872858.jpg
 
Atatoboa naamini, cha msingi game ya mwisho apige goli nyingi, na maadii zake wa juu wenye point tatu na chini ya tatu awaombee NJAA kali

1SwedenF30
2ScotlandC30
3CroatiaL3-1
4AlgeriaJ3-2
5ParaguayD3-2
6Cape VerdeH20
7BelgiumG20
8CzechiaA1-1
9EcuadorE1-1
10DR CongoK1-1
11BosniaB1-3
12SenegalI0-3
Idadi ya magoli ndiyo itakayo mbeba
 
Brazilian Ronaldo Confession: "Sijawahi kusema popote kuwa Messi ni bora kwenye historia ya mpira."

"Tumebaini kuwa ilikuwa ni uzushi ulioenezwa na gazeti la Mundo Depotivo la Barcelona."

"Walichapisha hiyo habari ikiwa na picha yangu sambamba na maneno ambayo sikuwahi kuyasema popote ikionesha kuwa mimi ndio nimeyasema."

Nb: Nilisema mimi kuwa hadi media zinafanya jitihada kumchafua Cristiano Ronaldo. Huu ni ushahidi mwingine.
 
Back
Top Bottom