2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Shida ya timu za kiafrica hasa mablack zinatafuta draw badala ya ushindi mechi nyingi ni kujilinda kuliko kushambulia

Mechi kati ya congo vs ureno kama congo angekuwa makini alikuwa anashinda ila walipotoka draw congo wakaea wanashangilia na hata hii mechi muendelezo ulikuwa ule ule

Hata ghana leo na yeye alikuwa anashangilia draw ni majanga hawa
 
Hah inasikitisha
 
Kama hao ghana sijui wameshindwa vp kumshinikiza refa aangalie VAR, walikuwa wanapata tuta la wazi kabisa, ila kwao wakaona ushindi sio kipaumbele chao.
 
1000819339.jpg
 
Back
Top Bottom