2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Congo anatakiwa amfunge Ubekistan goli nyingi huku akiombea Colombia amfunge Portugal mwenye point 4
Colombia wao wamesha advance tayari,wana point 6

Au ashinde mechi yake na Uzbekistan na kusubiri chance ya Best loser.
Mahesabu hayo yanahitaji calculater.
Wameshindwa kujipigania wenyewe sasa walazimike kushinda na kuangalia wengine wamefanya nini kwenye mechi zao za mwisho!!🤓😬
 
Back
Top Bottom