Hawa wamalize tu group lao hata halivutiiView attachment 3615081
Hali ya Kundi
Leo mwenyewe atapasukaGame yao ngumu sana
Canada vs Uswisi
Yan kuna timu zinaharibu mpaka radha ya ili kombeTimu kama Qatar na uzbekh zinafikaje world cup aisee ni vibonde balaa
Qatar anashinda hamtoaminiTimu kama Qatar na uzbekh zinafikaje world cup aisee ni vibonde balaa
Hao waarabu mvua ya mabao ya Argentina inawasubiriKuna Jordan pia
Kabisa kobaz soka awaliwezi 😀Tayari, warudi wakauze tende tuu
Morroco,Algeria na Egypt wamekusikiaKabisa kobaz soka awaliwezi 😀
Watoke tuu wanawapa wakina pessi record za kipuuziMorroco,Algeria na Egypt wamekusikia