Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,763
- 22,065
record nzuri sana
record nzuri sana
Yap kwa Mbapperecord nzuri sana
😁😁😁sasa mkajikusanye mcheze kwa ajili ya CR7Argentina inacheza kwa ajili ya Messi wakati Portugal wanacheza kwa ajili ya Messi
Hii ni ngumu sana kutoboa hususan unapoona Argentina wanapigwa jeki na FIFA (zile penati)
Hii ndio sababu kuu.
Hapo ni kabla Mbappe hajacheza
uhuni huu😁😁😁Ronaldo ni Ronaldo tu, tusimtengeView attachment 3613835
Ok, ebu tuongelee namba za goat, ana magoal mangapi katika mechi ngapiHapo ni kabla Mbappe hajacheza
Mbappe amefunga mabao 16 akiwa amecheza mechi 16 hii ni sawa na ratio ya bao 1 kwenye kila mechi.
Wakati huyo nanii kacheza mechi 28 (namba za umri wa Mbappe ni ndogo kuliko namba za mechi alizocheza nanii)
Na mind you nanii ana Penalty 4 kwenye hizo 18. So tuki minus penalty hapo anakuwa na goli 14
Mechi ya leo Portugal wakimpa ushirikiano Ronaldo naamini ataenda kufanya kitu.Ok, ebu tuongelee namba za goat, ana magoal mangapi katika mechi ngapi
😁😁😁ushirikiano ni kumtafutia penalti na si vinginevyo.Mechi ya leo Portugal wakimpa ushirikiano Ronaldo naamini ataenda kufanya kitu.
Na hata ikitokea hajafanya kitu bado anabaki kuwa GOAT 🐐
Messi hashirikiani na timu ila timu inashirikiana na Messi😁😁😁ushirikiano ni kumtafutia penalti na si vinginevyo.
Tofauti ni kwamba Messi anashirikiana na timu ila Ronaldo mnataka apewe ushirikiano na si atoe yy huo ushirikianoView attachment 3613877
Mfano Cape verde mechi ya mwanzo 0-0, mechi ya pili 2-2 jee mechi yao ya mwisho jee wakidraw tena mfano 1-1 inakuwaje hapo?Sijakuelewa.
Hwa me ndio wameniuma, nampenda Sadio ManeIla Senegal wamejua kutufedhehesha bana.
Yaani acha tu mwaya.Hwa me ndio wameniuma, nampenda Sadio Mane
Kila la kheri rafiki mi natembea na Germany.Timu France since day 1
All the best France
Cape verde mechi ya pili kadroo 2-2Mfano Cape verde mechi ya mwanzo 0-0, mechi ya pili 0-0 jee mechi yao ya mwisho jee wakidraw tena mfano 1-1 inakuwaje hapo?
Mechi ya pili Cape Verde walitoka sare ya 2-2Mfano Cape verde mechi ya mwanzo 0-0, mechi ya pili 0-0 jee mechi yao ya mwisho jee wakidraw tena mfano 1-1 inakuwaje hapo?