comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,123
- 16,127
KabisaYan kuna timu zinaharibu mpaka radha ya ili kombe
KabisaYan kuna timu zinaharibu mpaka radha ya ili kombe
SawaQatar anashinda hamtoamini
Huyo ndio mlalahoi sasaKuna Jordan pia
Hata Uzbekistan wanawapa kina penaldo rekodi za kindezi na wao watokeWatoke tuu wanawapa wakina pessi record za kipuuzi
M3chi ya Brazil inakosaje mvuto...?Zipo ila hazina hamshahamsha
Hii si ya kesho saa sita usikuM3chi ya Brazil inakosaje mvuto...?
Scotland hakuna timu pale Brazil wanajipigia tuBrazil akizembea atapita kama best looser
Scotland anakula nyingi leo.Tayari huko Vini kafanya yakeView attachment 3615149
Hakukuwa na mawasiliano mazuri kati ya beki na kipa, wamefanyiwa pressing kidogo tu mali imewatokaScotland anakula nyingi leo.