2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Yaani acha tu mwaya.

Hebu waje wazee wa calculations watuambie je ikitokea kashinda mechi ijayo vipi atakuwa na nafasi ya kupata hata ubest looser au ndo mpaka sasa ameshatoka mazima?
Ikiwa watashinda mchezo wa mwisho na kumaliza nafasi ya tatu katika kundi hawatatoka moja kwa moja Pointi na mabao waliyopata kwenye ushindi huo vitasubiriwa kulinganishwa na timu nyingine zote zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi mengine 11 Kama watakuwa miongoni mwa timu 8 bora zaidi za nafasi ya tatu, watafuzu kwenda hatua inayofuata
 
Kumbe this time best loosers wanatakiwa 08.

Hapo nawaombea walau washinde hiyo mechi moja halafu tuone hesabu zitasemaje.
 
Once upon a time in England league kulikuwa na timu moja tu iliyobahatika kuwa na GOAT
giphy (19).gif

Vilabu vingine vilikuwa vinapata sonona kuona timu zao hazina nyota wa kumlinganisha na Ronaldo.

So ikawabidi wahamie Barcelona
giphy (23).gif

Na walio wengi ni wale ambao timu zao ziliadhibiwa vibaya na Ronaldo.

giphy (24).gif
 
Mechi ya New Zealand Vs Egypt ukurasa rasmi wa kampuni ya Doordash huko X ulikuwa unatoa updates za mechi.

Commentary alishindwa kumtambua beki wa New Zealand aitwaye Tim Payne
1782217323242.jpeg

Badala yake akamuita T- Pain
1782217293012.jpeg

Mbaya zaidi admin akawa anam mention kabisa T-Pain

1782217417873.jpeg
 
Huyu beki nambari 4 mgongoni wa iraq achunguzwe itakuwa amejibetia
Haiwezekani goli la pili dhidi ya norway atoe boko yeye na jana dhidi ya ufaransa goli la pili kachoma yeye pia.
 
Back
Top Bottom