Mkuu mm naona hajakosea ila sema ndo ivo.Huyu kajichanganya. Hayo maneno angesema tu kwa mke wake chumbani.
Uliwapa watu zabibu zao😀😀Dakika saba za Nyongeza.
2-0
Daah kama namuona trumpDk 45
USA 2
Australia 0
Safi sisi tupo Morocco leo😀😀Kabisa mkuu...na nyingine hata hawajazimaliza 🤣
Nani kasema ni tabu? Mtangazaji wa wapi huyo?Nyuzi 23°C ni tabu huko? Au uvivu tu.
Nyani Ngabu
Leo Morocco anachezea nyingiSafi sisi tupo Morocco leo😀😀
Selecao huna habari naoHapa nashabikia Morocco na Haiti
Si kwamba VAR ndo inaondoa utata? Goli halali kabisa lile 😀.VAR utata mtupu
ujinga tu! Unambusuje mwanaume mwenzio?Brunooo kamkiss mwenzake.. busu la kheri, la pongezi ila wabongo wajaribu hiyo kitu, magazeti yote yataandika..