2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mashabiki wa Ronaldo wamechafukwa huko insta. Wamevamia account ya joao neves na kumporomoshea matusi. Hawakuishia hapo wameemda hadi kwenye account ya demu wa Joao Neves na kumtukana kama vile yeye alikua anacheza pia. Nayeye hajawalazia damu😂😂😂
View attachment 3611386
Dogo amezingua nini, nlikua bize leo sijaweza kuingia mtandaoni
 
Dogo amezingua nini, nlikua bize leo sijaweza kuingia mtandaoni
Hiki ndo alichosema dogo.. post yake ina kama comment laki na nusu afu matusi matupu.
1000052695.jpg
 
Back
Top Bottom