Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,865
- 141,421
Hmm hiyo we umeitoa wapi? Maana iliyoonyeshwa na Fox pamoja na FIFA ni tofauti kabisa.View attachment 3611428
Hii sio Offside kweli?
Hmm hiyo we umeitoa wapi? Maana iliyoonyeshwa na Fox pamoja na FIFA ni tofauti kabisa.View attachment 3611428
Hii sio Offside kweli?
Mwishowe De lima akamshangaza Oliver Kahn, ila ile ilikuwa Brazil inayoeleweka ila hii ya sasa ni anguko kubwa kwa sifa ya BrazilKabisa mkuu!
Siwakubali wala nini...
Hata 2002 nilikuwa nashabikia Ujerumani kwenye ile fainali.
Kwenye mambo ya fashionKumbe hadi kwenye hayo mambo ya mizagamuano upo?
Oh swali zuri sana.Maji ya nini sasa dakika 20 tu?
We jua fashionHuyo Angela White yuko kwenye fashion gani?
Ni kweli lakini pia sioni kama wana dalili ya kurudi kwenye angalau nusu ya ubora ule ni kama vile timu yao inadidimia kisoka kutoka kuwa football powerhouse hadi kuwa average team mbele ya mataifa kama France, England, Spain, Germany nkHuwezi kuwa top kipindi chote.
Kuna jamaa anasema! England alimaanisha EPL ndio imeharibu soka la BrazilNi kweli lakini pia sioni kama wana dalili ya kurudi kwenye angalau nusu ya ubora ule ni kama vile timu yao inadidimia kisoka kutoka kuwa football powerhouse hadi kuwa average team mbele ya mataifa kama France, England, Spain, Germany nk
Kuna yule Irankunda mzuri sn,ila hii wamelalaHizo sub pengine zitabadilisha mchezo.