Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Santo sana kwa mwongozo dearAnacheza leo.... Portugal-Congo
Santo sana kwa mwongozo dearAnacheza leo.... Portugal-Congo
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiisa!Sio wote, atuache
Game ikooo ON
Now tupo live
Kwanini? Ni hizo nyimbo za kikongo mnazosikilizaga?Dah Congo 🇨🇩 na Portugal 🇵🇹 nipo neutral.
Shukrani sana.. Smart911 ushapata siti huko???? Njoo umuone Mayele aliyekuwa mchezaji wa Yanga 😆😆😊Now tupo live
View attachment 3610055
Mechi ishaanza?41 - Aged 41 years and 132 days, 🇵🇹 Cristiano Ronaldo is the oldest outfield player to start a match in FIFA World Cup history.
Timeless.
Depal nyimbo za kikongo hasa rhumba kutoka kwa mwamba ferre gola ni moja ya sababu inayonifanya nipende taifa hili.Kwanini? Ni hizo nyimbo za kikongo mnazosikilizaga?
Njoo ureno ule mema
Sawa, uwe mwanajeshi ukawalindie na amani okay? 😂Depal nyimbo za kikongo hasa rhumba kutoka kwa mwamba ferre gola ni moja ya sababu inayonifanya nipende taifa hili.
Hatuna masihara mtani😂😂Na nawaona mmeanza kwa kishindo.