Ili group lipoje?Duh...
Australia wamepaki wapige kaunta ama?
Marekani wanapata kona hapa.
Inapigwa inakuwa mkaa
Dk 31
1-0
Utata mwingi mkuu vitu havitabirikiWawekezaji hatujui cha kufanya wanatuchanganya sana
Bado US na Australia wapo pazuri.
Game ngumu mkuu ukitaka ujue wewe ni bora angalia mpinzani wakoWadau wetu Australia wanashindwa hata kutambua wachezeje.
Wote wapo kwenye 18 yao
Wanataka kuweka matangazo hawa. Hydration break ni utapeli wa FIFANyuzi 23°C ni tabu huko? Au uvivu tu.
Nyani Ngabu
ImekuajeVAR check