EplKuna jamaa anasema! England alimaanisha EPL ndio imeharibu soka la Brazil
Uingereza inatajwa kuharibu utamaduni wa soka la Brazil kwa kubadili vipaji vyenye asili ya ubunifu wa Joga Bonito kuwa wachezaji wanaocheza kwa misingi ya mifumo na nguvu. Hata hivyo, wengine wanaona Ligi Kuu ya Uingereza imewasaidia Wabrazili kupata uzoefu na mbinu ngumu zinazoinua kiwango cha timu yao ya taifa.Kuna jamaa anasema! England alimaanisha EPL ndio imeharibu soka la Brazil
Anaweza sana huyu wa Kasuluameingia kipindi chapili tayari
Ngoja tuoneZitarudi