Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 215
- 766
Ya akina Sokomoko
Ya akina Sokomoko
Sio kweli mkuu, ni mtazamo tu au may be umekuwa manipulated na kile watu wanachosema. Hao ni rivals na wana fan base kubwa kubwa. Naamini ni kupakaziana tu.Ushindi ni matokeo ya mwisho.
Nazungumzia mchakato mzima wa kuupata huo ushindi uligubikwa na dosari nyingi ambazo ziliwanufaisha zaidi timu pendwa ya FIFA.
Hii haiko based kwa "namna watu wanavyosema."Sio kweli mkuu, ni mtazamo tu au may be umekuwa manipulated na kile watu wanachosema. Hao ni rivals na wana fan base kubwa kubwa. Naamini ni kupakaziana tu.
Huenda hata huyo mwingine angekuwa bingwa bado ungeendelea kusikia kauli hisi toka kwa fans wa upande wa pili
Ni mix ya vyote 😄Sijui ni camera, uwanja au jezi. Nikiangalia mechi za Ligi Kuu sahivi najisikia kichefuchefu
Ni sawa na uwe umeshiba Pilau la Kuku halafu mtu akukaribisha Ugali tembele.Sijui ni camera, uwanja au jezi. Nikiangalia mechi za Ligi Kuu sahivi najisikia kichefuchefu
karibu sanaSawa mkuu nimekuja
Ni namna tu mnavyotazama mambo. Kwamba timu gani ilideserve kushinda kwa mtazamo wako? Na sababu ni ipi?Hii haiko based kwa "namna watu wanavyosema."
Bali ni picha pana ya mfululizo wa matukio mengi controversial yalivyotokea.
Apa kufuzu kwa ghana mpaka ahakikishe anampiga tu coratia tofauti na hapo hakuna namna zaidi ya kufuzu kwa kupishana magoli
Post in thread 'Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?' Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?Ni namna tu mnavyotazama mambo. Kwamba timu gani ilideserve kushinda kwa mtazamo wako? Na sababu ni ipi?
Bingwa alionekana ana vipengele gani vya kuonekana kabebwa?
Team uliowish iwe bingwa, kama ingeshinda game zake zote isingebeba? Kanini haikushinda?
Timu pendwa ya FIFA ni ipi?
mpotezaji bora, hata akidroo tu na England na Croatia.Apa kufuzu kwa ghana mpaka ahakikishe anampiga tu coratia tofauti na hapo hakuna namna zaidi ya kufuzu kwa kupishana magoli
umeongea kwa ushahidi kabisa mkuu
Mkuu huyo Shabiki wa Ronaldo kindakindaki... Hapo anaokoteza sababu ili ajipoze moyo... Mimi jamaa namwelewa, hata mimi ingetokea Ronaldo ana world cup halafu Messi hana nadhan ningeitisha mpaka press conference..Ni namna tu mnavyotazama mambo. Kwamba timu gani ilideserve kushinda kwa mtazamo wako? Na sababu ni ipi?
Bingwa alionekana ana vipengele gani vya kuonekana kabebwa?
Team uliowish iwe bingwa, kama ingeshinda game zake zote isingebeba? Kanini haikushinda?
Sawa Mtani. Hivi mlishacheza mechi ya kwanza?Karibu England mdau...
Baadae utaona makali yetu