Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Sawa mkuu nimekujaSikio la muazini njoo hapa upate kila kitu.
Sawa mkuu nimekujaSikio la muazini njoo hapa upate kila kitu.
Anacheza leo.... Portugal-Congo
Dalili za mapema zimeanza kuonekana kuwa michuano imeanza kuwa riggedCha msingi wasiliharibu hili kombe kama walivyofanya 2022
Unafahamu maana ya neno princess?It's not a foul and not even a yellow when you're FIFA's princess
View attachment 3609665
View attachment 3609667
Hadi Prince nafahamuUnafahamu maana ya neno princess?
😀😀😀 nimeona comments zako inaonekana unamchukia Messi, why?Hadi Prince nafahamu
Nimelitumia kwa makusudi
Angalia hiyo post ya juu yako😀😀😀 nimeona comments zako inaonekana unamchukia Messi, why?
Ugomvi flan wa ngumiWakey Wakey, Day dreamer 😅
View attachment 3609912
Na nawaona mmeanza kwa kishindo.Nipo mtani. Nipo mabingwa watetezi wa taji