Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,545
AtakomaNi hatari unaambiwa mtu kastake bajeti ya halamshauri
Kitabu cha darasa la pili kilituhusia kuwa tukitaka mali tutaipata shambani na sio tutaipata tukimpa Spain.
AtakomaNi hatari unaambiwa mtu kastake bajeti ya halamshauri
Wanachoshangaza hawapigi rafu. Timu nyingine kungekuwa na penati, yellow nyingi na hata red. Wanajua wanachofanya.Cape Verde sio Kwa kushika Bomba huku
Jamaa wanajua kukaa nyuma ya mpira
Beti kiakiliImeondoka na treni nyingi sana hii game ya spain
Sema Lamine angeingia leo kama sio kufunga basi ange asistiSo sad mkuu
Cape Verde wameanza poa. Nasubiria France.Ufaransa. Underdog wangu Cape Verde. Natumaini hawajaacha ule mpira wao mzuri.
Ni sawa na kilimo tu mkuu unaweza weka fedha nyingi muda mwingi na bado usiambulie chochote shambaniBeti kiakili
Kumla muhindi ni bahati sio ujanja.
Na bado huko mbeleni visago vitaendelea kutoka mpaka Muhindi ahakikishe amekupuna zote hadi uweke simu ya kubetia bondi
France ashachukua somo tayariCape Verde wameanza poa. Nasubiria France.
Cape Verde wameanza poa. Nasubiria France.
Kuingia wapi tenaSema Lamine angeingia leo kama sio kufunga basi ange asisti
Sasa kwani uongo?James samwel upara uliokosa akili anaifananisha league ya misri na league kubwa za ulaya, shobo tuu kubalance kwamba misri ni timu nzuri, Leo anabondwa na ubelgiji
Si hajaingia leo kwasababu ya majeruhiKuingia wapi tena
Sawa ngoja tuone, jina lako lilivyokaa tuu nshakuona ni mtu wa aina gan siwez kubishanaSasa kwani uongo?
Ligi za Ubelgiji na Misri zimepishana kidogo tu
Kundi lao wale kobaz wa homuz hawawezi kumfanya asifuzu Kwa kundi laoDogo haujui mpira Kachambue wakina Konde boi 😆
Everything is gambleNi sawa na kilimo tu mkuu unaweza weka fedha nyingi muda mwingi na bado usiambulie chochote shambani