2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ukweli ni kwamba ya 2022 haikuwa na ushindani kwasababu kuna timu moja iliandaliwa kutwaa taji kwasababu za kibiashara pamoja na mchezaji wake kuwa favourite na FIFA.

Ladha ingeonekanaje ikiwa kila mechi kulikuwa na penati?

Ushindani ungeonekanaje ikiwa hakuna usawa wa kimaamuzi kwenye kutafsiri sheria za faulo?
Bila shaka ni Argentina FIFA walimtafutia andunje taji
 
Back
Top Bottom