2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000807927.jpg
 
Panama nayo timu bas ni kama curacao muulize uran mziki wa england kauona
Tumeshasema na uran hakuna team ndogo huko.
Mlikuja majuzi na visingizo ooh Congo atakula nyingi mbele ya Ureno..oooh Verde atachezea..matokeo yake wamechezwshwa watu kigodoro cha kiafrika wameishia Droo..
Heshimuni watu walioingia huko Kombe la Dunia..mkiona hamna heshima pelekeni team zenu.
 
Sahihi kabisa Mkuu.
Mzunguko wa pili utatoa picha kamili ya mashindano.
 
Back
Top Bottom