Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,024
- 125,996
Kabisa yaani.Wameamka bhana😂
Ila afadhali kuliko nao wangekutwa na yale aliyokutana nayo Simba wa Teranga.
Kabisa yaani.Wameamka bhana😂
Sahihi kabisa. Hatupingi uwezo wa Ronaldo, ila Messi ni habari nyngineMkuu huyo Shabiki wa Ronaldo kindakindaki... Hapo anaokoteza sababu ili ajipoze moyo... Mimi jamaa namwelewa, hata mimi ingetokea Ronaldo ana world cup halafu Messi hana nadhan ningeitisha mpaka press conference..
Kasoro Xenophobia.Timu za bara la giza awamu hii hazijaanza kinyonge.
Xenophobia apigwe tu anastahili ana mambo za ajabu sana kwa waafrika wenzake.Kasoro Xenophobia.
Red cards zote mechi moja. WTFAll 48 teams have now played a game at the 2026 World Cup ⏪
🏟️ 24 games
⚽️️75 goals
🤝 9 draws
🐐 1 hat trick
✌️ 7 doubles
😬 3 own goals
🟥 3 red cards
Anakipiga saa 1 sijui itakuajeXenophobia apigwe tu anastahili ana mambo za ajabu sana kwa waafrika wenzake.
Nawe unajua banyamulenge lo!!! Uko vizuriiii
Ila we mwamba dah
Yaani inabidi wajikaze aisee.Sauz wakipigwa leo.
Imekula kwao