Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Wakongoman mbona walegevu hivi
Wew binti nimekukosea nini?Sawa, uwe mwanajeshi ukawalindie na amani okay? 😂
Shangilia CongoLeo nipo vugu vugu, natamani timu zote zishinde hapo hapo zote zishindwe...
Hata sielewi...Shangilia Congo
Yaani acha kabisa. Mkiwa kama Mabingwa watetezi ule ni mwanzo mzuri.Hatuna masihara mtani😂😂
Upo team gani?
Mie hata sikuwatarajia kuwa hivi. LolWakongoman mbona walegevu hivi
Mzee wa GOT winter is coming.Daah kuangalia mpira kwenye simu jau sana. Ngoja niache tu
Daah kitambo sana sijamuona my favorite character jon snow.Mzee wa GOT winter is coming.
Unatumia App au link mkuu?Daah kuangalia mpira kwenye simu jau sana. Ngoja niache tu
Mkuu tumerudiUnatumia App au link mkuu?
Share link pls.