Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,217
- 37,437
Senegal leo
Sahihi kabisa MkuuTuwape Congratulations Iran, pamoja na pressure nyingi na vikwazo nje uwanja unfairness wameweza kupata pointi ht km hao New Zealand ni kibonde kwao kulingana na fifa rankings, japo tumeona baadhi nchi zipo chini kisoka kwenye fifa rankings zimewatuliza vigogo soka Duniani mfno Cape Verde Kwa Spain,Qatar Kwa Uswiss,Saudia Kwa Uruguay, Australia Kwa Uturuki so kila kila nchi/timu inaleta ushindani wapate dollari nyingi nyingi ht km wasipochkua ubingwa na wapate soko kubwa ulaya...
Lakini wasiwasi wngu Iran asipokaza anaweza asifuzu Kwa mara nyingi tena kwenda mtoano 32 Bora maana mechi alizobakiza ni ngumu na very tactical teams kuliko New Zealand alionekana kibonde wa kundi na kikosi chake Iran ni aged kdgo compare na Egypt na Belgium Wana mipira ya Kasi hasa Misri.
Kuna matrain bado yapo salama ,,,,kacheki train la Sam kicheko linasonga mpaka sasa timu 14 zishatikiSio leo ni kwamba yalisukwa matreni kabla ya michuano kuanza aliyenusulika dhidi ya game ya uswisi hii game ya spain jana haijamuacha salama
Jamaa kavaa cheni na Pete za chuma uwanjani kama msanii 😂
Sio ajabu leo yakajirudia Mtani.
Ila umemissika Mtani. Hivi upo kweli?1 - Despite Spain having 74% possession, Cabo Verde conceded just one foul in this match - the fewest by any team in a FIFA World Cup match on record since 1966.
Disciplined.
Timu zimeongezwa ndugu , watu walilamika kombe la Dunia iwaje zinashiriki nchi 32 tu katika nchi zote Duniani ? ndio wakaona watanue wigo ziongezwe idadi ya timu ili timu nyingi zipate nafasi ya kushiriki ndio pendekezo la timu 48 likakubaliwa .Sijaelewa hii kitu Wakuu imekuwaje safari hii Afrika tunasimamisha timu 10?
Nakumbuka kama zilikuwaga tano hivi?
Ooh! Kumbe.Timu zimeongezwa ndugu , watu walilamika kombe la Dunia iwaje zinashiriki nchi 32 tu katika nchi zote Duniani ? ndio wakaona watanue wigo ziongezwe idadi ya timu ili timu nyingi zipate nafasi ya kushiriki ndio pendekezo la timu 48 likakubaliwa .
Hapo Africa tukapata advantage timu zetu zimeongezwa . Wengine waje kuongezea nyama
Okay lTimu zimeongezwa ndugu , watu walilamika kombe la Dunia iwaje zinashiriki nchi 32 tu katika nchi zote Duniani ? ndio wakaona watanue wigo ziongezwe idadi ya timu ili timu nyingi zipate nafasi ya kushiriki ndio pendekezo la timu 48 likakubaliwa .
Hapo Africa tukapata advantage timu zetu zimeongezwa . Wengine waje kuongezea nyama
7 USIKU? 10 ALFAJIRI?View attachment 3609119
Plan yangu leo ni kutizama game zote hizi.
Kata mti panda Mti!!
Ngoja nione nguvu yangu 🤣🤣
Naona groups kibao this timeTimu zimeongezwa ndugu , watu walilamika kombe la Dunia iwaje zinashiriki nchi 32 tu katika nchi zote Duniani ? ndio wakaona watanue wigo ziongezwe idadi ya timu ili timu nyingi zipate nafasi ya kushiriki ndio pendekezo la timu 48 likakubaliwa .
Hapo Africa tukapata advantage timu zetu zimeongezwa . Wengine waje kuongezea nyama
Kitu kingine lazima kanji arudishe pesa yangu 😁😁 tuone kama na huu atachomoaTafuta kazi ya kufanya kubet sio kazi