2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Na hapo Kenya haina Lamine Yamal lakini huikuti ikiimbwa na kutupiwa shangwe za ukubwa
1781548939906.png
 
France hawezi muacha mtu salama. Kwa attacking line-up ya France lazima akutoboe at least mawili kurudisha ni juu yako. Hii Spain mbele ni butu esp kama Yamal na Nico wapo bench.
Mbona waliingia?
 
Back
Top Bottom