Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,333
- 13,232
Mi game ya 7 nimejiwekea lazima niangalie masaa mawili ya kulala yanatosha labda game za saa 10 na 11 ndio sitaangaliaDuh sijui kama nitaweza. Tatizo ikiisha unaanza itamani ya saa 10
Mi game ya 7 nimejiwekea lazima niangalie masaa mawili ya kulala yanatosha labda game za saa 10 na 11 ndio sitaangaliaDuh sijui kama nitaweza. Tatizo ikiisha unaanza itamani ya saa 10
Always hayo ndo mazoea yako ya kulala masaa 2 pekeeHamna mkuu, masaa mawili ya kulala yananitosha kwahiyo game ya saa 7 ikiisha saa 9 nikalala mpaka 11 unusu inatosha kabisa
Yes masaa 2 au 3 ya usingizi yananitosha kabisaAlways hayo ndo mazoea yako ya kulala masaa 2 pekee
Unauchosha sana mwili wako, jitahidi ulale angalau 6+ hrsYes masaa 2 au 3 ya usingizi yananitosha kabisa
Kumbe bsdo kuns nyingineDuh sijui kama nitaweza. Tatizo ikiisha unaanza itamani ya saa 10
Bora ata sauz tunisia ndio hovyo kabisaKinachonishangaza Egypt hawapigi buti. Kocha kafanya kazi nzuri sana, sio kama wale South Africa wanaocheza kama vibaka.
Haziishi hizi. Unachagua kucheki game au kusinzia kaziniKumbe bsdo kuns nyingine
Acha nilale
41" : Saudi Arabia 1-0 UruguayKobazi mkuu anatoboa kwa uruguay?
At least Egypt wanaonesha kitu uwanjani kuliko Spain
Pole mimi hata ya Egypt sikumaliza nilipitiwa na usingiziDuh sijui kama nitaweza. Tatizo ikiisha unaanza itamani ya saa 10
Man of the match Cape Verde goal keeper-Vozinha 🫡