2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kweli kabisa.

🤣🤣Hivyo unataka wakutane uwanjani. 🤣🤣
jamama wana forward lao jersey no. 20 na winger aliyepiga bao jersey no.8 ni balaa hao watu sii mchezo na kuna mido wao no. 14 sema aliumia ila mtu na nusu yule
 
Ufaransa ni must win match

Hii ni mechi ambayo Ufaransa ameshinda kabla hata hajacheza.

Ila najua Senegal hawezi kukubali unyonge lazima atajitupa tupa.
leo mabingwa wa africa wanacheza hawawezi kutuangusha dhidi ya waafrica wenzao walio lowea ufaransa
 
Nani Spain?

Yulle mbona mimi nilimkatia tamaa tangu michuano haijaanza

Tena bora venye wachezaji wetu wa Madrid hawakuhusika kwenye ile aibu, huyo Cocurella bado ni fresher tunaweza kumpa excuse.
Atakeyechukua kombe la dunia mwaka huu Kama atatokea ulaya! Atakuwa amechoka saaana.
 
Ni kweli ni mabingwa wa Afrika hilo naliheshimu ila kwa leo watanisamehe.

Ufaransa hii mechi sioni akienda kupoteza alama 3.
mie nachotaka mbungi ipigwe nani atashinda hiyo watajua wenyewe muhimu tuone boli linapigwa watu wanaonyesha ujuzi wa kusakata kabumbu
 
Nadhani WC hii Mbappe anaenda kuwa Top Scorer wa muda wote.
images (49).jpeg
 
Back
Top Bottom