Mikeka itapasuka Hadi rahaTayari Misri nao wameanza kushangaza Dunia
Speed of lightImagine mpira unakimbia 101km/hr
Hii ngoma alishawahi kuipiga Faisal kwenye mech ya morroco ni fire 🔥Bonge moja la Bunduki
Tafuta kazi ya kufanya kubet sio kaziLeo kweli Spain kaniweza nashubiri keshe narebet mikeka yote😁😁😁
Niliweka under 2 kwa Spain na Verde..kuna dogo alisema wale Spain kwa gonga gonga zao wanaweza wasipate goli😀😀Mliacha kumpa Egypt mkampa Spain
Furaha yangu kuona mikeka ya wapuuzi kama nyie inachanka ngoja nibane mbupu kwa dkk zote 90WAZEE WAKUBET WEKA UBELGIJI ANASHINDA KWA GOLI 2+
EGYPT HAMNA KITU ZAIDI YA KUPAKI BASI
Labda angeanza kuna kitu angefanyaSi hajaingia leo kwasababu ya majeruhi
Acha kuwaponza wenzioWAZEE WAKUBET WEKA UBELGIJI ANASHINDA KWA GOLI 2+
EGYPT HAMNA KITU ZAIDI YA KUPAKI BASI
Mbona unawaombea mabaya wenzioooFuraha yangu kuona mikeka ya wapuuzi kama nyie inachanka ngoja nibane mbupu kwa dkk zote 90
Ni aibu tupu na radhi zote alizo nazo kwa umri ule😅😅Kipa wetu wa Madrid amedhalilika kwa ule mpingo
Mi nilijiweka kando kbisa kwenye hii World Cup.Wazee wa kubet kazi mnayo mwaka huu🤣🤣🤣