Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,024
- 125,993
Mi hiyo ya saa 10 inaniwazisha sana. Hadi natamani niiamkie hiyo mida. 🤣🤣View attachment 3609119
Plan yangu leo ni kutizama game zote hizi.
Kata mti panda Mti!!
Ngoja nione nguvu yangu 🤣🤣
Mi hiyo ya saa 10 inaniwazisha sana. Hadi natamani niiamkie hiyo mida. 🤣🤣View attachment 3609119
Plan yangu leo ni kutizama game zote hizi.
Kata mti panda Mti!!
Ngoja nione nguvu yangu 🤣🤣
Huo mpango ulikuwa toka Zamani najua , ilikuwa 2018 ndio walipitisha halafu utekelezaji ramsi ndio mwaka huuOoh! Kumbe.
Ahsante sana ndugu mana nilijikuta hata sielewi elewi.
Leo kazi ipo nakwambia hawa senegal wanavyojua kupiga counter wakikupora mpira midfield ni balaaaaTimu yeyote ittayocheza na Ufaransa hiyo itakuwa adui yangu
Labda ikitokea Ufaransa na Portugal
Wacha tuone boli aisee hatari sii mchezoMy predictions
Senegal vs France - Draw
Iraq vs Norway - Norway win
Algeria vs Argentina - Draw
Alafu game za alfajiri ndio zinakjwa tamu kama jana iran na new zealand ilikuwa bonge la mechi...hawa iran wakutane tuu na marekani tuone vita uwanjaniMi hiyo ya saa 10 inaniwazisha sana. Hadi natamani niiamkie hiyo mida. 🤣🤣
Ufaransa ni must win matchLeo kazi ipo nakwambia hawa senegal wanavyojua kupiga counter wakikupora mpira midfield ni balaaaa
Alafu huku kuna olise....sii mchezo.
Kweli kabisa.Alafu game za alfajiri ndio zinakjwa tamu kama jana iran na new zealand ilikuwa bonge la mechi...hawa iran wakutane tuu na marekani tuone vita uwanjani
Game yaWacha tuone boli aisee hatari sii mchezo
Nimeangalia kwenye Rada hii game ni draw mkuuUfaransa ni must win match
Hii ni mechi ambayo Ufaransa ameshinda kabla hata hajacheza.
Ila najua Senegal hawezi kukubali unyonge lazima atajitupa tupa.
Senegal ni must win match 😆😆Ufaransa ni must win match
Hii ni mechi ambayo Ufaransa ameshinda kabla hata hajacheza.
Ila najua Senegal hawezi kukubali unyonge lazima atajitupa tupa.
Hakuna draw leoNimeangalia kwenye Rada hii game ni draw mkuu
Kiuzalendo unaweza kusema hivyoSenegal ni must win match 😆😆
Kumbuka Jana muda Kama huu, Ile ndiyo must win match kwa 🇪🇸Kiuzalendo unaweza kusema hivyo
Ila sikushauri utie hela yako
hizo game zote hapo ulizotaja makocha wa brazil na kocha wa holland walibet.Game ya
Brazil vs morocco
Netherland vs Japan
Nli predict draw na zikatoa, hata hizi za leo 100% matokeo ni hayo, kesho ntaku tag
Nani Spain?Kumbuka Jana muda Kama huu, Ile ndiyo must win match kwa 🇪🇸