41" : Saudi Arabia 1-0 Urugua
Hii world cup sio ya kubeti itatufilisi, Iran kacheza na kibonde nae kamshindwa41" : Saudi Arabia 1-0 Uruguay
mwendo wa sare🫣🫣FT
Saudi Arabia 1
Uruguay 1.
Zile timu za kwanza kwanza zilizingua.
Watu wamejifunza sasa.
GG inatembeaNdugu zetu wawekezaji bado mmelala
Sio leo ni kwamba yalisukwa matreni kabla ya michuano kuanza aliyenusulika dhidi ya game ya uswisi hii game ya spain jana haijamuacha salamaLeo msibeti
Nataka kazi ya ushekh nimesha nunua vifaa vyote kwa pesa ya kubetiTafuta kazi ya kufanya kubet sio kazi
Na ndio siku timu zinatoaLeo msibeti
Hiyo pia inaweza kuwa sababuInategemea na uzito wa game!!
Mashabiki wa Spain wanajiliwaza kwa possession na dribbles alizofanya Lamine YamalSpain ilikua side passes tu wangecheza all day bila kufunga goli.
Timu yeyote ittayocheza na Ufaransa hiyo itakuwa adui yanguLeo ndio leo...mabingwa wa africa, masters of midfield transition take to the field...full burudaniiii
Kocha wa Spain mjinga yuleMashabiki wa Spain wanajiliwaza kwa possession na dribbles alizofanya Lamine Yamal
Kwanini umuite mjinga na msisifie mpango mkakati Mzuri waliokuja nao cape Verde, kila mmoja kombe la Dunia anataka ushindi au pointiKocha wa Spain mjinga yule
Tuwape Congratulations Iran, pamoja na pressure nyingi na vikwazo nje uwanja unfairness wameweza kupata pointi ht km hao New Zealand ni kibonde kwao kulingana na fifa rankings, japo tumeona baadhi nchi zipo chini kisoka kwenye fifa rankings zimewatuliza vigogo soka Duniani mfno Cape Verde Kwa Spain,Qatar Kwa Uswiss,Saudia Kwa Uruguay, Australia Kwa Uturuki so kila kila nchi/timu inaleta ushindani wapate dollari nyingi nyingi ht km wasipochkua ubingwa na wapate soko kubwa ulaya...