2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000802701.jpg

Afrika Kabisa...
 
Usiku huu wa manane kuamkia jumatatu kweli upo macho unaangalia mpira kombe la dunia na upo JF? Kama taifa tunapoelekea ni wapi?

Hii siyo sawa kabisa tendeeni haki miili yenu na akili zenu. Nchi yetu bado kabisa kupenda na kuendekeza anasa.

Kuweni Wazalendo.

Kusema kweli inasikitisha!
Nyabumbu wewe umefanya nini kwa nchi zaidi ya kuvuta Mabange tu ?
 
Back
Top Bottom