Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,567
Yeah Netherlands VS JapanTukutane saa tano
Yeah Netherlands VS JapanTukutane saa tano
Natamani kuangalia ila nahisi usingizi balaaaa hapaGame nzuri
Kiasi, Ngoja sasa Ujerumani akacheze na ivory coast tuone mambo yatakuwajePamoja na kuwa wamepata kibonde ila na mpira wanao
I stand with Japan...
Weka kingereza, achana na hao watangazaj wa league ya mchangani ya bongoMtangazaji anasema eti, kuna kuupiga, kuutandiaka na kuulabua(mpira) Neno kuulabua sio kiswahili. Ni neno la kichagga lenye maana ya kupiga.
Nilikuwa naweka hili sawa tu.