Hawezi. Cape Verde chama langu naliamini.Leo Spain atajipigia kuanzia goli 4+
Kuna mwingine atatia aibu na Belgium..Bora wangeenda Burkina Faso kuliko hawa matapeli Tunisia
Mkuu subiri tu maumivu,Hawezi. Cape Verde chama langu naliamini.
Anajikutaga machachari. Watapiga waue.Kuna mwingine atatia aibu na Belgium..
😀😀Anajikutaga machachari. Watapiga waue.
Hawa Egypt siwaamini kivile,🤣🤣 Egypt...
Anaweza kukaza lakini
Subiri tuoneKakutana na underdog tu
Subiri tuoneLeo Spain atajipigia kuanzia goli 4+
Unailinganisha vp curacao na brazil bwasheeKwahiyo Brazil nae alipopigwa na Wajerumani goli 7-1 alikua underdog?
Tena alifungwa kwenye Semi final ndani ya ardhi yake 2014
Mkuu unaelewa unachokijadili lakini?Unailinganisha vp curacao na brazil bwashee
Ivory Coast wameanza vizuri.Kwangu mimi naona timu za Africa NI Morocco na Senegal ndio watajinasua na Hii stage kidogo na cape Verde wakiwa serious
unajua Wajerumani wakorofi sana.Unailinganisha vp curacao na brazil bwashee
Goli zikishakua nyingiMechi haina radha tena
Yeah. Walikutana na majembe lazima wakwatuliweGoli zikishakua nyingi
Santo sana. Nilikua natafuta haya matokeo . Kumbe Japan nao hawajamboView attachment 3608023
Kumeanza kuchangamka sasa