Hawacheki na kima😄😄Ujerumani wana roho mbaya
Hawa wapigwe kifurushi cha wiki basi.Curacao wana kitu
Sema wameanza na German ambayo ni timu kubwa sana
Ndio hivyo nguvu ya sodaWalianza poa sana aisee
TayariChuma cha saba
Wataoga magoli leoChuma cha saba
Kila dakika 10 goliDk 88
German 7
Curacao 1
Mpira unaendelea