Ndio mambo tunataka..siku ingine ukisikia World cup unaona checheee😀😀😀Leo Spain atajipigia kuanzia goli 4+
Mkuu mwache abatizwe na makaa ya moto😀😀😀Tunisia tayari kala chuma cha 5
Mzee nimeamka baada ya Mkesha wa Brazil na Kazi ya kina Kumamoto..😀😀Uholanzi walilamba asali iliyowekwa kwenye panga la Samurai😀😀Chuma cha 5 wanakula Tunisia
Uwiiiiii